Document Actions

Kuingiza Masuala ya Jinsia Katika Utaratibu wa UJD 2007

Wakala huu uliwasilishwa kwa mara ya kwanza katika mhadhara kuhusu “Kujumuisha Masuala ya Jinsia Katika Utaratibu wa UJD” uliofanyika katika Jumba la Ufungamano, Nairobi, Alhamisi Mei 25, 2006.

Wakala huu uliwasilishwa kwa mara ya kwanza katika mhadhara kuhusu  “Kujumuisha Masuala  ya Jinsia Katika Utaratibu wa UJD” uliofanyika katika Jumba la Ufungamano, Nairobi, Alhamisi Mei 25, 2006.

Licha ya kupiga hatua kadhaa kuelekea kufikia utaratibu wenye kujumuisha wanawake katika vuguvugu la UJD, matatizo kambambe yangali yapo na yanaweza kujitokeza katika harakati za kutayarisha kongamano la UJD Nairobi 2007, anasema Onyango Oloo (Mshirikishi wa Kitaifa wa UJKenya), katika wakala huu uliyowasilishwa katika mhadhara wa Mei 25, 2006 kuhusu “Kujumuisha Masuala  ya Jinsia Katika Utaratibu wa UJD”.   Licha ya yote, hatujashindwa katika vita hivi. Oloo anapendekeza kuwa kuna uwezekano wa kuchukua hatua ambazo kwazo, wanaume wanaweza kuonyesha mshikamano na wanawake ndugu zao.

Unaweza kunakili kutoka mtandao kwa kubonyesha hapa here.