Mwito kwa Ukumbi wa Jamaa Afrika Mashariki (UJD)
Kumbi za wananchi za kijamaa, wanawake, vijana, wafanyakazi, wahamazishaji, wanasanaa, wenye vilema na wengineo kwa pamoja wanaombwa kuhamazisha umma juu ya UJD2007.
|
Mwito kwa Ukumbi wa Jamaa Afrika Mashariki (UJD)Kumbi za wananchi za kijamaa, wanawake, vijana, wafanyakazi, wahamazishaji, wanasanaa, wenye vilema na wengineo kwa pamoja wanaombwa kuhamazisha umma juu ya UJD2007. UJD2007 inatayarishwa na kumbi za kijamaa kutoka kanda ya Afrika Mashariki. Mwito huu unatolewa kwa kumbi zote kutoka kanda hii: wanawake, vijana, wafanyikazi, wahamazishaji, vuguvugu nyinginezo kujiunganisha na kumbi nyinginezo kuhamazisha eneo lote kwa jumla kwa minajili ya kongamano hili. |