Majadiliano kiandilishi wa UJD 2007 kuhusu vitendo, kampeni na misukosuko, ukotayari!
Chanzo cha mwendo wa kutararisha UJD2007 ni majadiliano kuhusu vitendo, kampeni na misukosuko. Kikundi, shirika au mtandao wako unaalikwa kushiriki.
Chanzo cha mwendo wa kutararisha UJD2007 ni majadiliano kuhusu vitendo, kampeni na misukosuko. Kikundi, shirika au mtandao wako unaalikwa kushiriki.
Mpenzi rafiki, mshriki wa Ukumba wa Jamaa Duniani:
Mkondo wa Saba wa Ukumbi wa Jamaa Duniani itakayoandaliwa mwezi January, tarehe 20 hadi 25, mjini Nairobi ( Kenya), unakabiliwa na taka shari ya kuungamana na vitendo vya kuunda “dunia nyingine linalowezekana”
Shuritisho hili limekuwa likipendekezwa kwenye mikutano ya baraza ya kimaitaifa ya UJD na makadirio waliofanyika kuhusu harakati za UJD. Jambo tunalotaka kuitekeleza kama lilivonukuliwa kwenye mkataba wa Kanuni la UJD: Ukumbi wa Jamaa Duniani ni nafasi wazi wa mkusanyiko wa kuwazisha, kujadiliana fikra kidemokrasi, kuviunda pendekezo, kubadilishana huru maarifa na kushirikiana kwa vitendo athari.
Hii ndiyo sababu maadalizi ya taka chari imenanzishwa.
Taka chari itaipa maendelezi mbinu zilizopitishwa mwaka wa 2004 na wakati wa maandalizi ya UJD 2005 ili kuyaimarisha ujenzi wa harakati na tokeo. Kumbi lilizotajwa hapo awali liliwezesha ufafanuzi wa insha kumi na moja kuhusu shughuli 2,000 zilizofanyika. Pia mnaarifiwa kuwa shuguli hizi zilipangwa ka kibinafsi.
Tofauti baina ya mashuriano zilizofanyika mwaka wa 2004 na zile za mwaka huu, ni ya kwamba, mashauriano mpya zitatilia maanani vitendo, kampeni na msukosuko shirika/mtandao lako linaloshughulika nazo. Pendekozo iliowasilishwa ni kuiandaa Ukumbi lijalo kufuata vitendo, kampeni na msukosuko vyenu. Utaratibu huu utaarifu nafasi zilizomo kwenye Ukumbi na shughuli zitakazofanyika.
Shauri hili litawezesha vitendo viliyowasilishwa kwenye ukumbi kuvunduliwa na matokeo yataweza kudumu hata baada ya Ukumbi. Mbinu hili litawaweziesha mashirikia zitazohudhuria Ukumbi kuziunganisha msukosuko tofauti kwa nia ya kujenga jamaa la kudumu ilio na haki, usawa, demokrasi na shime. Pendekezo lililowasilishwa kupitia barua hii ilipitishwa na baraza la kimataifa ya UJD, kutokana na pendekezo la tume lake la mbinu katika mkutano uliofanyika mwezi Marchi 2006 mjini Nairobi.
Tumejaribu kurahisisha maswali vilivyomo kuwapa fursa ya kuyajibu kwa urahisi na vikamilifu. Tunawaomba muyakamilishe kwa haraka ili tuwe na mda wa kutosha italotuwezesha kuaandaa UJD 2007 vyema. Siku ya mwisho ya kuwasilisha majibu yako ni Mwezi Agosti, tarehe 30, 2006.
Kuijaza fomu ya taka chari, tafadhali bofya anwani hili : http://consultation.wsf2007.org/.Mashirika zilizojiandikisha kwenye tovuti ya UJD 2006 (polycentric – www.wsf2006.org ) hawatakikani kujaza fomu zote mara nyingine. Wanaweza kuzuru sahifa kupitia anwani ( http://consultation.wsf2007.org/ ) na kutumia jina la mtumiaji na nywila uliotumia kwenye tovuti la WSF2006.org.
Kwa maelezo mengine, tafadhali wasilisha maswala kupitia anwani hii:
Ofisi ya Kamati Kiandilizi cha UJD 2007,
Anwani : Masandukuni Lane, Off Gitanga Road
Sanduku la Posta: S.L.P. 63125, 00619 Nairobi Kenya
Simu: 254-020-3860745 ou 254-020-3860746
Fax: 254-020-2713262
Barua pepe: socialforum@sodnet.or.ke
