baraza kuu la UJD (WSF 2007)
Maelezo kuhusu Baraza linalo jukumu la kuandaa UJD (WSF 2007).
Ukumbi wa Jamaa Duniani 2007 |
||
| 1.0 | Baraza kuu ya UJD (WSF 2007) | |
| 1.1 | Baraza kuu la UJD 2007 linajumuisha mashirika na nyendo zinazozingatia Mkataba la UJD na yalioamua kupinga utandawazi beberu, ukabilia, kukosa uvumilivu wa dini, umajimbo, ubaguzi wa wanawake. Kundi hivi pia zinavunia kuisaidia harakati ya UJD kifedha na vinginevyo. |
|
| 1.2 | Baraza kuu la UJD 2007 linajumuisha mashirika na nyendo zinazozingatia Mkataba la UJD na yalioamua kupinga utandawazi beberu, ukabilia, kukosa uvumilivu wa dini, umajimbo, ubaguzi wa wanawake. Kundi hivi pia zinavunia kuisaidia harakati ya UJD kifedha na vinginevyo. |
|
| 1.3 | Baraza Kuu la UJD 2007 inajukumu la kuendeleza sera ya mwongozo ilikuhakikisha kwamba harakati ya UJD una usafi na uwazi. |
|
| 1.4 | Baraza Kuu la UJD 2007 ni mahala pekee yaa kukubaliana, kujadiliana na kutunga sera za mambo zinazohusiana na harakati ya uandalizi wa UJD 2007. |
|
| 1.5 | Baraza Kuu la UJD 2007 linajukumu la kuwezesha taka shari baina ya vikundi na kualika mashirika, nyendo duniani kushiriki kwenye harakari ya UJD. |
|
| 1.6 | Baraza Kuu la UJD 2007 linajukumu la kuunda kamati uandilishi wa UJD 2007 kupitia mfumo uliokubaliwa. Baraza Kuu la UJD litaipatia hii kipawa na uhalali. |
|
| 1.7 | Baraza Kuu la UJD linauwezo wa kuidhinisha mashirika na nyendo kuwasilisha harakati ya UJD mikoani na vijijini nchini Kenya, Uganda, Tanzania na Ethiopia. |
|
| 1.8 | Repoti za kamati kiadalizi ya kazi ya UJD na repoti ya kifedha itasambazwa wakati wa mikutano ya baraza kuu la UJD 2007. |
|
| 1.9 | Gharama ya kushiriki kwenye mikutano ya Baraza Kuu litasimamiwa na mashirika au watu binafsi. |
|
| 2.0 | Kamati kiandilishi cha UJD 2007 | |
| 2.1 | Kamati kiandilish cha UJD 2007 likuwa nafasi ya kuunda sera kama iivyoidhinishwa na Baraza Kuu la UJD 2007. Kamati linajukumu la uamuzi kuhusu sera za ushiriki, fedha na mpango maalum. |
|
| 2.2 | Kamati kiandilish cha UJD 2007 litajumuisha mashirika na nyendo watakaoshiriki kikamilivu kwenye tokeo na harakati ya UJD. Vikundi vitavyoshiriki kwenye kamati hii wanatakikana kuyafuata Mkataba wa Kanuni wa UJD na kwa maisha ya kilasiku, kupinga vikali utandawazi beberu, ukabilia, kukosa uvumilivu wa dini, umajimbo, ubaguzi wa wanawake. |
|
| 2.3 | Vikundi na nyendo vitakavyoshiriki kwenye Kamati kiandilishi cha UJD 2007 wanatakikana kujitolea kwa njia mbali mbali: kifedha, saa, rasilmali ya mashirika zao ili kuimarisha sehemu zote za harakati ya UJD hapa Afrika Mashariki (mikoani, wilayani na hata vijijini). |
|
| 2.4 | Kamati kiandilizi cha UJD lipokea repoti za tume na litajulisha habari kuhusu harakati ya uandalizi, fedha na miradi. |
|
| 2.5 | Kamati kiandilizi cha UJD 2007 litalinisha harakati na kutoa mwongozo ilikuwezesha uamuzi safi na majadiliano yenye manufaa kuhusu mambo pingamizi yatakayotokea wakati wa harataki na tokeo ya UJD. |
|
| 2.6 | Vikundi vitakavyo shiriki kwenye kamati kiandilizi wanajukumu la kuwakusanya watakaojitolea kufanya kazi mbali mbali katika harakati ya UJD. Vikundi hivi pia vimeidhinishwa kutafuta njia na namna ya kusaidia kuchanga fedha. |
|
| 2.7 | Vidokezo yanayofuata ni utaratibu wa jukumu linalotakikana kutoka kwa vikundi vitakavyo shiriki kwenye kamati hii: |
|
a) |
Kuwakusanya watu wana uwezo wa kujitolea kikazi kwenye harakati na tokeo la UJD. |
|
b) |
Kuanzisha na kusahalisha harakati nchini na kuhakisisha kwamba idadi mkubwa wa watu watashiriki kwenye harakati ya UJD. |
|
c) |
Kusaidia mchango wa fedha kutoka sehemu tofauti na kutoa fedha kutoka hesabu za mashirika yao. |
|
d) |
Kusaidia kimuundombinu harakati ya UJD. |
|
e) |
Kushiriki kwa kuelimisha uma kuhusu UJD, kuyasambaza fikra na nguzo ya harakati ya UJD kwa kutayarisha vifaa vya elimu kama alamu, kijitabu, michezo ya kuigiza, filamu au utando na kadhalika. Vifaa hivyo vitaandaliwa kwa ushirikiano na tume la mawasiliano ili kuwezesha usawa wa ujumbe unawasilishwa. |
|
f) |
Kuhakikisha kwamba harabi za harakati ya UJD zinazoendelea nchini zinawasilishwa kwenye vyombo vya habari. Mashirika yanaombwa wasambaze habari kupitia jarida na magazetti ilikaurifu uma. |
|
g) |
Kusaidia kupanga matokeo ya kitamaduni, michezo ya kuigiza, sinema na maonyesho ya picha. |
|
h) |
Mashirikia yanaalikwa kujitolea kwa namna yeyote wanaoweza, kwa mfano, kuunda tovuti, mawasiliano, kifedha, ukarani, sahifa na kadhalika. |
|
| 2.8 | Vikundi vitakavyoshirika kwenye kamati kiandilizi cha UJD 2007 yanatakikana kudokeza sehemu ambazo watakazo tolea msaada na kumteua mtu atakaye kuwa na jukumu la kufuata maswala hio. |
|
| 2.9 | Kamati Kiandilizi cha UJD 2007 itakutaka mara tano kabla ya tokeo la UJD. |
|
| 2.10 | Gharama zote kama uchukuzi na malazi wakati wa mikutano ya kamati hii zitagharamiwa na mashirika binafsi. |
|
| 3.0 | Tume za Kamati kiandilisha wa UJD Nairobi 2007 |
|
a) |
Tume la kadiri, maandishi na orodha |
|
b) |
Tume la kukusanya Jamaa | |
c) |
Tume la mali | |
d) |
Tume la ndia | |
e) |
Tume la mawasiliana na upashaji | |
f) |
Tume la vijana | |
g) |
Tume la utamaduni | |
| Kamati Kiandilishi cha UJD 2007 | ||
o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o |
Abdilahi Abdi – Northern Aid Abduhamid Slatch – YMA Achoka Awori – Sayari Betty Okero – West Kenya NGO Network Boaz Waruku - CRECO Dominic Odipo – Journalist Edward Oyugi _ SODNET George Mucai – COTU Grace Githaiga – EcoNews Africa H. Kisio – Rift Valley Hubbi Hussein Jacob Opiyo – KETAWU Jennifer Koinante – Yiaku Peoples’ Organisation, Laikipia Joseph ole Simel – Maa Civil Society forum Julius Okara – KEPSA Kathini Maloba-Caines – KNUSE Kiama Kaara – Huruma Social Forum Kibacia Gatu Maina Mugo – Forest Evictees/FMAN, Nyeri Muga Kolale – UASU Muthoni Wanyeki – FEMNET Mwambi Mwasaru Ndungi Githuku – Mulika Communications Ng’ang’a Thiong’o – RPP Njoki Njoroge-Njehu – SANA/Daughters of Mumbi RC Njuguna Mutahi – PAT Njuki Githethwa – KENDREN Obat Masira – Misango Arts Odenda Lumumba – KLA Odindo Opiata – Hakijamii Oduor Ong’wen – SEATINI Kenya Otieno Ombok – Chemichemi ya Ukweli Phylis Nduva – FMAN, Kitui Mwakilishi. wa 5Cs Mwakilishi wa Huruma Social Forum Rep. of Osiligi Sophia Abdi – Womankind Steve Ouma – KHRC Tabu Osusa – Ketebul Productions Wafula Buke – Maskini Liberation Front Wahu Kaara – KENDREN Zahid Rajan – Awaaz Zarina Patel – Awaaz Waakilishi 6 kutoka Uganda Waakilishi 6 kutoka Tanzania Waakilishi 6 kutoka Somalia Waakilishi 6 kutoka Ethiopia |
|
|
|
||
| Vingozi wa Tume | ||
Tume la Kadiri, maandishi na orodha, Professor Edward Oyugi |
||
| |
||
