You are here: Home Usajili Binafsi wa Jukwa la Kijamii 2007 umeanza
Document Actions

Usajili Binafsi wa Jukwa la Kijamii 2007 umeanza

What Appointment
When 2006-10-14
from 16:26 to 16:26
Add event to calendar vCal (Windows, Linux)
iCal (Mac OS X)

Sasa fomu ya usajili binafsi inapatikana kwa mtandao wa jukwa la kijamii 2007. Shukisha fomu hiyo, jaza na uiregeshe kwa afisi za jukwa la kijamii Nairobi

Sasa fomu ya usajili binafsi inapatikana kwa mtandao wa jukwa la kijamii 2007. Shukisha fomu hiyo, jaza na uiregeshe kwa afisi za jukwa la kijamii Nairobi

Imesalia miezi minne tu ili kuuanda jukwa la kijamii na afisi za jukwa la kijamii duniani 2007 linafurahia kutangaza ya kwamba usajili wa kibinasfi umefunguliwa rasmi.

Usajili wa vitendo utafungiliwa October 11.

Kujisajili, teremsha form ya usajili kutoka kwa mtandao, uijaza na kisha kuituma kwa registration@wsf2007.org.

Ilani: Anwani hii ni ya kupokea fomu pekee.